Posted on: May 7th, 2025
Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imegawa tani 8 za mbegu za alizeti kwa Halmashauri ya Wilaya Chato ili zigawiwe kwa wakulima bure.
Zoezi la ugawaji limeanza tarehe 5.3.2025 na litahitimishwa tare...
Posted on: March 5th, 2025
Leo Mach 5, 2025 umati mkubwa wa wananchi umeshuhudia uzinduzi wa Zahanati ya Busalala katika Kijiji cha Busalala, ambapo wananchi Kijijini hapo walishindwa kujizuia nakubaki kutoa machozi ya...
Posted on: March 3rd, 2025
Mhe. Katibu Tawala katika wilaya ya Chato Ndg. Thomas Dimme amewataka watumishi wa umma kuondoa matabaka mahala pa kazi, huku akisisitiza upendo na kuongeza kiwango cha uwajibikaji ili kila taasisi ya...