Posted on: July 13th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni ameahidi kujenga madarasa 7 katika kijiji cha Nyabilezi mahali ambapo kumejengwa uwanja wa ndege wa Chato ulipo kata ya Bukome.
Ahadi hiyo ...
Posted on: July 9th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amezindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato iliyoundwa baada ya kuunganishwa kwa Mapori ya Akiba ya Burigi, Biharamulo na Kimisi y...
Posted on: July 5th, 2019
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta ameonya tabia ya baadhi ya watu wanaotoa kauli za uchochezi unaolenga kudhohofisha uhusiano wa kirafiki, kidugu na kijirani uliopo kati ya Kenya na...