Posted on: August 12th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Geita mhe. Martin Shigela leo amefanya ziara ya siku moja yenye lengo la kujitambulisha wilayani hapa.
Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na Katibu Tawala Mkoa Prof.Godiu...
Posted on: August 3rd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Chato Mh. Martha Mkupasi amewaasa makarani wa sensa waliopo kwenye mafunzo katika tarafa zote 5 kufanya kazi kwa bidii pamoja na kutanguliza mbele uzalendo kwenye zoezi Sensa ya Watu...
Posted on: August 4th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Kigoma Malima leo amefungua Rasmi Maonesho ya Nanenane 2022 Kanda ya Ziwa Magharibi yanayofanyika kwenye viwanja vya Nyamongolo Jijini Mwanza.
Akitembelea ...