Posted on: March 21st, 2023
Mkuu wa wilaya ya Chato Mhe. Deusdedith J. Katwale amewataka ma Afisa Ugani katika Halmashauri ya Chato kwenda kusimamia na kuwaelekeza wakulima kilimo bora na chenye tija ili waondokane na kilimo cha...
Posted on: March 16th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chato amekanusha vikali uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa standi kuu ya mabasi ya Chato "Kahumo bus terminal" imetelekezwa na kubaki magofu.
U...
Posted on: March 8th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chato Ndg. Mandia Kihiyo akitoa neno kabla ya kumkaribisha Mhe. Mkuu wa wilaya ya Chato amewashukuru wananchi wote waliojitokeza kwa wingi katika maadhimish...