Mhe. Mkuu wa wilaya ya Chato Bi. Martha Mkupasi amewataka wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) kutunza nidhamu waliyofundishwa na wakufunzi wao kwani kwa kufanya hivyo amani na utulivu vitatawala katika maeneo yetu.
Ameyasema hayo alipokuwa akifunga Mafunzo hayo katika viwanja vya Shule ya Msingi Mapinduzi iliyopo katika kata ya Buresere katika Halmashauri ya Chato Mkoani Geita
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.