• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Malalamiko |
    • Staff Mail |
Chato District Council
Chato District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofis ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chato

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Wilaya
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Kilimo
      • Eduction
        • Primary
        • Secondary
      • Fedha
      • Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
      • Water
      • Works
      • Afya
      • Ardhi, na Maliasili
    • Vitengo
      • Procurement
      • ICT
      • Internal Audit
      • Legal
    • Muundo wa Utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uchimbaji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Vivutio Vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Health Service
    • Education Service
    • Water Service
    • Agriculture Activities
    • Livestock Activities
    • Fisheries Activities
  • Councilors
    • Councilors List
    • Standing Committee
      • Finance, Planning & Administration
      • Education, Health & Water
      • Environment, Works & Economic
      • HIV/AIDS Control
      • Ethics
    • Schedule
      • Councilors Meting Schedule
      • Meet with Councilor
  • Miradi
    • Planned Projects
    • Miradi inayoendelea Kutekelezwa
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Repoti
    • By Law
    • Fomu
    • Strategic Plan
    • Huduma ya Mkataba kwa Mteja
    • News Paper
  • Kituo vya Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Matukio
      • Habari

DC NKUMBA AKEMEA SHUGHULI ZA KISIASA KUKWAMISHA UKUSANYAJI WA MAPATO CHATO

Posted on: March 21st, 2024

Halmashauri ya wilaya ya  Chato mkoani Geita imetakiwa kuimarisha mbinu na usimamizi wa ukusanyaji mapato ya ndani huku shughuli za kisiasa zikitakiwa kutoathiri zoezi hilo ili kuongeza kiwango cha ukusanyaji kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa  miradi ya maendeleo hususani miradi vipolo iliyoanzishwa kwa nguvu za wananchi.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa wilaya ya Chato Mhe. Said Nkumba katika  mkutano wa Baraza la madiwani wa halmashauri hiyo lililoketi machi 20, 2024 katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya, likiwa ni la robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/2024.

Mhe. Nkumba amesema wilaya kuwa ya mwisho kwa ukusanyaji mapato ni fedheha na aibu kubwa, hivyo amewataka watumishi hususani wanaokusanya mapato kuacha kufanya kazi kwa mazoea bali waongeze ufanisi ili kuleta matokeo chanya kwani kila mmoja kwa nafasi yake akitekeleza vizuri majukumu yake ana mchango mkubwa wa kuleta maendeleo ya wilaya yetu na Taifa kwa ujumla.

Aidha Mhe.Nkumba ametoa onyo kali kwa yeyote atakayefanya ubadhilifu wa fedha  zinazoelekezwa kwenye miradi, kwani hataangalia ninani aliyehusika bali sheria itafuata mkondo wake, huku akielekeza kuwa miradi yote hata ile inayotoka Serikali kuu wananchi washirikishwe kwani ushiriki wao utawafanya waone miradi hiyo ni yao na hivyo kuimarisha ulinzi.

"Katika wilaya hii mimi ni mgeni, ninawaahidi ushirikiano mkubwa katika kazi. Nidhamu ni kitu cha msingi kuleta mafanikio, nahimiza mahusiano mazuri kazini Chato iwe moja sitaki migawanyiko.Tuwaheshimu viongozi wetu wenye dhamana kwa wananchi Wahe. Wenyeviti, Madiwani, pamoja na Mbunge wetu sitapenda kusikia lugha za kejeli dhidi yao..Namalizia na wanaofugia mjini  wanaharibu miundombinu, Afisa mazingira na Afisa mifugo angalieni sheria inasemaje na ifuatwe. Amesema Nkumba"

Naye Mwenyekiti wa Baraza la madiwani Mhe. Batholomeo Manunga amewataka maafisa elimu Msingi na Sekondari kuwasimamia walimu katika ufundishaji wenye tija ili kuinua ufaulu, huku akisisitiza fedha za mfuko wa jimbo ziende kupunguza makali ya michango ya wananchi na si kuwa sadaka za viongozi wachache wabadhilifu hivyo zikafanye kazi iliyokusudiwa.

Matangazo

  • MATOKEO YA UDEREVA CHATO DC September 27, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CHATO DC September 20, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI CHATO July 19, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • JIMBO LA CHATO LAGAWANYWA RASMI

    May 12, 2025
  • CHATO TECHNICAL YAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • WATAHINIWA 2234 WA KIDATO CHA SITA KUANZA MTIHANI MEI 5 WILAYANI CHATO

    May 04, 2025
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI

    May 01, 2025
  • View All

Video

MHE. NDEJEMBI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA NA NIDHAMU NA KUTIMIZA WAJIBU KWA WELEDI
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HOTUBA YA BAJETI TAMISEMI 2019
  • Mwongozo wa Matumizi Bora na Salama wa Vifaa vya TEHAMA
  • MWONGOZO WA KUSIMAMIA NA KUENDESHA TOVUTI ZA SERIKALI
  • MWONGOZO WA OPRAS
  • TAARIFA KWA UMMA UFUNGUZI WA JENGO JIPYA JIPYA CRDB

Tovuti Linganifu

  • IKULU
  • Ofisi ya Rais- TAMISEMI
  • eMrejesho - Malalamiko/taarifa yeyote kutoka kwa wananchi,Watumishi wa Umma/Wastaafu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu
  • Ofisi ya Rais- Utumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    MKURUGENZI MTENDAJI

    Postal Address: 116 CHATO

    Telephone: +255282228007

    Mobile:

    Barua pepe: ded@chatodc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Privacy Policy
    • Kanusho
    • Malalamiko
    • map
    • Service

Copyright©2016 CDC . All rights reserved.