Wananchi wa kata ya Bwongera wilayani hapa wamechangishana fedha kiasi cha shilingi milioni 6 kwa lengo la kutengeneza barabara inayounganisha kata hiyo na kata jirani ya Nyamirembe.
Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Christian Manunga amesema wananchi hao wameamua kutengeneza Barabara hiyo ili iweze kuwarahisishia kusafirisha mazao yao kutoka shambani lakini pia kupata usafiri kwa urahisi
MKURUGENZI MTENDAJI
Postal Address: 116 CHATO
Telephone: +255282228007
Mobile:
Barua pepe: ded@chatodc.go.tz
Copyright©2016 CDC . All rights reserved.